Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Baada ya masaa kadha yaliyopta Gaidi mmoja aliejitolea muhanga kwa kujiripua katika sehemu itwayo Khaibar askazini mwa Pakistani na kusababisha kufariki zaidi ya Watu 23 na majeruhi 55.
Hadi sasa habari kunako mlipuko huo na ongezeko la majeruhi haijafamika bado tunajitahidi kufatilia.
Ama vyombo vya habari vyengine vya eleza kuwa katika mlipuko huo walifariki watu 24 na majeruhi 55.
Mwanasiasa mmoja akieleza katika mazungumzo na Shirika la Habari la ABNA alisema: sehemu hii ilotokea mlipuko ni sehemu ya Madhehebu ya Sunni na lengo la mlipuko huo ni wananchi na pia askari walokuwa wakilinda.